MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MWAKA 2014/2015 KUTOKA SEPTEMBA 22, 2014.

 

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwenye tovuti ya TCU majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu mwaka wa masomo 2014/2015 yatatolewa tarehe tajwa hapo juu. Hii itakuwa ni baada ya kikao kitakachofanyika Ubungo plaza na wawakilishi kutoka vyuo vyote Tanzania vilivyopo katika jumuiya hiyo ya vyuo vikuu hapa nchini.
Aidha kwa waombaji wote ambao majina yao yalitoka katika orodha ya wasiochaguliwa mwisho wa kuomba ni tarehe 22/09/2014. 
Majina hayo yatapatikana katika tovuti ya TCU na NACTE.


Post Comment