MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014
Nafasi za kujiunga na kidato cha tano mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya wanafunzi 16800 wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za kidato cha tano….
Akitangaza majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA
amesema kuwa jumla ya wanafunzi 54085 sawa na alimilia 75.61 ya
wanafunzi 71527 waliostahili kuingia kidato cha tano mwaka huu
wamechaguliwa huku wavulanai ni 31352 wakati wasichana ni 22733 ambapo
ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa kulinganisha na wanafunzi
33683 walochaguliwa mwaka jana.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule mbalimbali wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo mwisho wa kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu ambapo amesema kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajaripot hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa na waliokosa nafasi.
——————————————–
Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014
1. Wasichana — Shule Zote << BOFYA HAPA>>
2. Wavulana — Majina ya Shule A Mpaka L << BOFYA HAPA>>
3 .Wavulana — Majina ya Shule M mpaka Z << BOFYA HAPA >>

No comments