Habari mpya

LIVEEEEE... TOKA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA KATIKA TUKIO LA KUONESHA VIPAJI SJMC TALENT DAY


HII NI LOGO MAALUMU YA TUKIO HILI .....MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG IPO NAWE KUKUPA TUKIO HILO LAIVUU......
MZEE KITIME AKITOA NENO FUPI NA KUWAASA WANAFUNZI KUTUMIA VIPAJI VYAO KUTIMIZA NDOTO ZAO
WASANII WA HIP HOP WA,ITOA BURUDANI SAFII...t .....,.


BAADHI YA WANAFUNZI WALIOHUDHURIA TUKIO HILI LA KIHISTORIA HAPA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA





MAONESHO YA UREMBO NA MAVAZI YANAENDELEA .... 


...MZEE KITIME akihiojiwa na mtangazaji wa EA RADIO Anna Petter ambaye pia naye alikuwa MC wa tukio hili
barnaba boy akifanya yake......
maigizo yakiendelea ........................
kwelimc akitoa free style  .......


msanii toka sjmc akitoa burudani safiii.... / /''''''''










....


Sheria Ngowi akitoa neno fupi kuwaasa wanafunzi kutumia vipaji vyao kutimiza ndoto zao.......
TV1 is here to make sure this event gets coverage Enough ........ 


BAADA YA SHOW BARNABA ANAPATA TASWIRAZ NA MASHABIKI WAKE......................................

picha zaidi bofya hapa HAPA

No comments