Habari mpya

MVUA ZINAZOZIDI KUNYESHA SEHEMU MBALIMBALI HAPA TANZANIA ZALETA MAAFA HUKO MOROGORO


Vijana wawili wa familia moja wakazi wa Visegese kijiji cha Towero kata ya Mlimani manispaa ya Morogoro wamefariki dunia baada ya kusobwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa zilizonyesha mfululizo mkoani Morogoro.

No comments