BAADA YA MAJANGA YA KUFUNGIWA WIMBO WAKE WA UZURI WAKE, NA SINTOFAHAMU JUU YA NITASUBIRI KUHUSISHWA NA JACK, SAASA AJA NA TATTOO MPYA
Msanii wa Rnb mwenye wimbo unaofanya vizuri kwenye radio kwa sasa ‘Nitasubiri’ ameongeza asilimia ya wino wa tattoo kwenye mwili wake tena, Hii picha ilionekana kwenye instagram yake ikiwa na haya maneno.
“PASSION new tatoo #music #passion #love # africanboy”
No comments