KAMA ULIKUWA HUJAONA, BASI HIZI NDIZO PICHA ZA DESIGN MPYA YA IPHONE 6 ZIKLIZOZINDULIWA JANA
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Iphone na una marafiki zako wanaotumia Android, Blackberry pamoja na windows phone lazima wakubali hii release mpya ya Iphone. Hizi ni picha za design mpya zilizoliki kwenye mtandao ambazo zinaweza kukusaidia mtu unayedesign covers za iphone kwani utapata full vipimo vya design mpya. Waweza zicheki hapo chini.
No comments