BREAKING NEWZ. MAJINA YA WALIMU WALIOPANGIWA KAZI NGAZI YA SHAHADA/DIPLOMA MWAKA 2013/2014. YATAZAME HAPA.
Majina ya waalimu wapya yametoka kwa mwaka 2013/2014,walimu wote wapya wanatakiwa kuripoti bila kukosa kwenye Halmashauri walikopangiwa ifikapo tarehe 01 Aprili 2014 ili waanze kazi mara moja.
Angalizo ni kwamba majina haya yamewekwa kwa mfumo wa PDF, hivyo baadhi ya simu chache sana zinaweza kukuonesha majina haya baada ya kuyapakua(kudownload) hivyo tunakushauri udownload kwa kutumia kompyuta ili uweze kuyaona
No comments