Habari mpya

SHULE KUMI BORA ZILIZONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NECTA RESULTS 2013 (TOP TEN BEST SCHOOLS 2013) NA TOP TEN STUDENTS NECTA RESULTS 2013

Mradi wa shule za kata aisee umefeli hamna ata shule moja kata ambayo ipo kwenye hii orodha ya vinara bora katika matokeo haya. Tutafakari haya kwa kina,
  • Je kubadili madaraja kumesaidia lolote katika kupandisha ubora wa elimu Tanzania?
  • Je kuna mafanikio yoyote katika mradi huo wa shule za kata?
  • Je mwakani matokeo yatabadilika kutokana na Big Results Now (BRN)?
  • Ni kipi kifanyike ili kuinua matokeo ya kidato cha nne?
Hizi ndio shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:
  1. St.Francis Girls (Mbeya)
  2. Marian Boys (Pwani)
  3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
  4. Precious Blood (Arusha)
  5. Canossa (Dar-es-salaam)
  6. Marian Girls (Pwani)
  7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
  8. Abbey (Mtwara)
  9. Rosmini (Tanga)
  10. DonBosco Seminary (Iringa)
Hawa ndio wanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:
  1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
  2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
  3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
  4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
  5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
  6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)
  7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
  8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
  9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
  10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)

No comments