Habari mpya

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 MBIONI KUTOKA HUKU WATAHINIWA WAKIWA MATUMBO JOTO(NATIONA FORM FOUR RESULTS 2013)

Zikiwa zimebaki siku chache matokeo ya kidato cha nne kutoka imeonekana ikiwa ni kipindi kigumu sana kwa watahiniwa waliofanya mtihani huo mwaka jana 2013. Hii imetokana na matokeo ya msimu uliopita kuwa mabaya pamoja na mabadiliko ya madaraja ya matokeo hayo kwa mfano kuongezeka kwa daraja la tano (Division 5).
Je msimu huu mambo yatabadilika au ndo yatakuwa mabaya zaidi ?



No comments