Habari mpya

KENNY KIDAGO LYANGA MFANYAKAZI WA EAST AFRICAN TV NA RADIO NA MENEJA MWANZILISHI WA RADIO BEST FM - LUDEWA AFARIKI DUNIA

Source: Jamii Forum

Habari za mchana huu wanaJF!


Nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa tumempoteza mwenzetu aliyejulikana kwa ID ya K007 ambaye kwa jina halisi ni Kenny Kidago Lyanga.

Kenny alikuwa ni rafiki wa karibu yangu na mm ndiiye niliyemshawishi ajiunge na JF tukiwa Arusha.

Alihama Arusha kuja dar kikazi ambapo hadi mauti inamkuta alikuwa ni creative assistance East African TV & Radio. 

Chanzo cha kifo chake hakijajulikana lkn mfanyakazi mwenzie ambaye alinijulisha habari hii asbh hii anasema tangu juzi wamekuwa wakimtafuta kazini bila mafanikio ndipp leo walipoamua kwenda ku-report polisi ndipo polisi walipokwenda kwenye makazi yake pale mwenye kituo cha mbele kidogo ya calabashi na kuita bila mafanikio, lakn walikipiga simu zilikuwa zikiita ndani ndipo walipofanya mpango wa kuvunja mlango na kumkuta ndani akiwa amefariki. 

Hakuna taarifa za ugonjwa wala kukutwa na majeraha yoyote.

Hadi asbh ya leo saa tatu kasoro hivi nilikuwa nilimtumia msg maananilikuwa nimwemwachia external hhard disk yangu aniwekee movie kama week moja iliyopita.

Kenny anatarajiwa kuzikwa kwao Morogoro mjini.

R.I.P Kenny Lyanga.

No comments