JE WAJUA KWAMBA MLIMA KILIMANJARO NDIO MLIMA MREFU ZAIDI DUNIANI?
KWANN TUNASEMA MLIMA KILIMANJARO NDO MREFU ZAID DUNIAN??
Na ktk post yang ya Miss Tz nmesema iv japo kuna walioshangaa.
Kuna njia kama 4 za kupma urefu wa mlima.
1.Kwa kgezo cha kuangalia umbali mfup kuzfikia nyota na mwez kutokea kilelen-Mlima Chimborazo upo Ecuador ndo mrefu zaid coz upo mbal zaid kutoka katkat ya dunia
yaan upo karibu na mzngo wa Ikweta ambao nusu kpenyo chake ndo kikubwa zaid toka katkat ya dunia
2.Mlima Everest umebebwa juu ya safu za milima ya Himalaya.so kutoka ktk kitako/base cha mlima Everest knachoanzia juu ya milima Himalaya mpaka juu yake ni meta kama 3000 tu. Japo ukiuesabia toka usawa wa bahar mlima Everest una m 8849 japo toka baharin/meta 0 had m 5000 sio mlima Everest
3.MLIMA MREFU KWA KUANGALIA KTAKO/base KILIPOANZIA haijalish wap kpo-Ni mlima Mauna Kea uliopo visiwa vya Hawaii ktako chake knaanzia baharin ivo una urefu wa m 10,058 japo tukiesabu umbal kuanzia usawa wa bahar una urefu wa meta 4,205 tu.
ILA sasa
4.MLIMA KILIMANJARO tofaut na milima kama Everest unaotegemea milima Himalaya na Aconcagua unaotegemea milima Andes,
Kilimanjaro ndo mlima mrefu zaid dunian unaosimama peke yake toka usawa wa bahari bila kutegemea safu za milima kwa urefu wa m 5895.
-ukiondoa mlima Fuj/Japan,Sinai /Egypt na Vesuvius/Italy inaamnka K'Jaro ndo mlima unaotembelewa zaid dunian
Pongezi kwake Miss Tz kwakujaliwa hiki "kijungu matata"

Na Frolian Martin Mgeni
No comments