RAISI JAKAYA KIKWETE KUCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SIMBA WABUNGE LEO KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI
Katika Tamasha la Matumaini
litakalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku ya leo tarehe 07/07/2013 kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka wa mpira wa miguu kati ya wabunge mashabiki wa Simba na wale wa Yanga, huku Prezdaa akiwa kati akiuendesha mchezo huo.Pia litahushisha masumbwi na wasanii mbalimbali wa Tanzania wa Gospel na Bongofleva huku kukiwa na burudani ya kila aina kutoka ndani na nje ya Tanzania.
USIKOSE KUHUDHURIA UWANJA WA TAIFA UPATE BURUDANI YA AINA YAKE
No comments