MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 (THE NATIONAL FORM FOUR RESULTS 2012)YATOKA HUKU SHULE ZA BINAFSI ZIKIZIDI KUONGOZA NA UFAULU WA WASICHANA KUSHUKA

Matokeo ya kidato cha nne yametangazwa leo huku ufaulu wa watoto wa kike ukiwa umeshuka ikiwa ni tofauti na miaka mingine ilivyozoeleka wasichana wakiwa vinara katika matokeo lakini sasa imekuwa ni tofauti. 
Shule zinazomilikiwa na watu binafsi zazidi kuwa kileleni, na zilizoongoza ni kama ifuatavyo:
  1. Saint Francis Girls (Mbeya) 
  2. Marian Boys (Bagamoyo) - Ni form four wa kwanza
  3.  Feza Boys (DSM)
  4. Marian Girls (Bagamoyo)

Kupata matokeo hayo bofya hapo chini
fLINK-01: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012 

fLINK-01: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2012 


Katika matokeo hayo ya Kidato cha Nne ya 2012 yaliyotangazwa leo, Shule za vipaji maalum hazijafanya vizuri kama ilivyotarajiwa. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. 
Nafasi zao ni kama ifuatavyo: 
  • Mzumbe(17) 
  • Kibaha(18)
  • Ilboru(3 1)
  • Tabora Boys(44)
  • Msalato(59) na 
  • Kilakala(63).

Post Comment