Habari mpya

RATIBA YA MTIHANI KIDATO CHA SITA (FORM SIX NECTA TIME TABLE 2013) HAITOHUSIANA NA MABADILIKO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU YALIYOFANYIKA

 
Kutokana na mujibu wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), ratiba ya mitihani ya kidato cha sita mwaka 2013 haitohusiana na mabadiliko ya mihula ya sekondari na vyuo vya ualimu yaliyofanywa. Mtihani huo utafanyika mwezi Februari tarehe 11 (11/02/2013). Mabadiliko ya mihula yaliyofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi yataanza kutumika na Watahiniwa wa Kidato cha Nne mwaka 2013, ambao watafanya mtihani wao mwezi Novemba na Watahiniwa wa Kidato cha Sita mwaka 2014 ambao watafanya mtihani wao mwezi Mei.

6 comments:

  1. Stunning quest there. What occurred after? Take care!
    My website :: http://buy-meratol.weebly.com

    ReplyDelete
  2. [url=http://www.audio-transcoder.com/how-to-convert-flac-files-to-aac]convert flac to aac[/url]

    ReplyDelete