MAJINA YOTE YA WALIOCHAGULIWA KUJIUANGA NA VYUO VIKUU TANZANIA 2012/2013


KAMA HUIONI SELECTION STATUS USICHOKE UWE UNAJARIBU KILA BAADA YA MUDA FLANI KUPITA

FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA
  • Ingia kwenye website sehemu ya kujisajiri (CAS)
      Click here to enter.....
  • Kwenye Log In form, weka Username na Password yako

  • Kisha click tab ya Login
  • Moja kwa moja utakua umeingia kwenye mfumo wa usajili
  • Fungua (click) sehemu ya mwisho imeandikwa My Profile


  • Baada ya hapo fungua (click) Selection Status
  • Katika hiyo selection status form juu ya table utaona maneno yanayosomeka kwa rangi nyeusi 
  • You Are Selected To Bachelor Degree in Regional Development Planning  at  Institute of Rural Development Planning 
     Rangi nyekundu ikionyesha kozi uliyochaguliwa na chuo husika
  • Pia ukiangalia kwenye table utakuanda imeandikwa Admitted kwa kozi husika uliyochaguliwa
 


KUWA NA SUBIRA ENDAPO HUIONI SELECTION STATUS YAKO

NB: SOON ITAKAPOKUWA WAZI UTAIPATA
STAY TUNED!

Post Comment