Habari mpya

JINSI YA KUANGALIA CHUO ULICHOCHAGULIWA


KUWENI NA SUBIRA WADAU WETU TCU WAMEIONDOA ILE SELECTION STATUS 

FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA
  • Ingia kwenye website sehemu ya kujisajiri (CAS)
      Click here to enter.....
  • Kwenye Log In form, weka Username na Password yako

  • Kisha click tab ya Login
  • Moja kwa moja utakua umeingia kwenye mfumo wa usajili
  • Fungua (click) sehemu ya mwisho imeandikwa My Profile


  • Baada ya hapo fungua (click) Selection Status
  • Katika hiyo selection status form juu ya table utaona maneno yanayosomeka kwa rangi nyeusi 
  • You Are Selected To Bachelor Degree in Regional Development Planning  at  Institute of Rural Development Planning 
     Rangi nyekundu ikionyesha kozi uliyochaguliwa na chuo husika
 

KUWENI NA SUBIRA WADAU WETU TCU WAMEIONDOA ILE SELECTION STATUS 

NB: SOON ITAKAPOWEKWA WAZI TUTAWAPA TAARIFA
STAY TUNED!

1 comment:

  1. ambien generic ambien rx sleeping pill - ambien cr 12.5 mg argentina

    ReplyDelete