KAOZAB X'CLUSIVE
Kama ligi ya england ingekuwa darasa basi darasa lingekuwa hivi..
Liverpool-ni mwanafunzi anaye jivunia mafanikio ya wazazi wake. 
Arsenal-ni mwanafunzi anaye penda mafanikio anahangaika kuyapata lakini bado hapati. 
Chelsea-ni mwanafunzi anayefeli na kulaumu walimu na wazaz wake wanamtafutia mwalimu mwingine 
Man city-ni mwanafunzi mwenyekila kitu vitabu vyote anavyo lakini bado hawezi kuvitumia. 
Man united-ni mwanafunzi mjanja mjanja mwenye mafanikio makubwa lakini sifa anazopewa na watu zinamfanya apunguze kasi ya masomo na kujikuta akipoteza mafanikio yake. 
*HUO NI MTAZAMO WANGU* 

buy ambien ambien side effects nausea - ambien cr generic image
ReplyDeleteambien cost ambien cr 10mg - high tolerance ambien
ReplyDelete