JINA LAZUA UTATA....!

Baada ya ma celebrity hao wawili kujipatia mtoto na kumpa jina la "Ivy Blue" sasa jina hilo limekuwa Topic kila sehemu hasa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Ambapo watu wengine wamelitamfsiri jina 'Ivy" linamaanisha namba 4 kwa kirumi ambapo inasemekana labda ni kwasababu Jay Z na Beyonce wote walizaliwa siku ya tarehe 4 na wakaoona siku ya terehe 4 december na wengine walidai kwamba labda ni muendelezo wa Album zake mtu mzima Jigga wa Blu print 1,2 & 3...

Na huku maana ya neno "Blue" likijulikana kuwa ni rangi ambayo Jay Z anaipenda tangu akiwa na umri mdogo.....not only that, wengine wakaja na tafsiri yao na Ki Free Mason na kudai kuwa jina la mtoto huyo wa Beyonce & Jay Z lina maana hiii...
•Ivy = Illuminati's Very Youngest
•Blue = Born Living Under Evil
na haya maneno ukiyageuza nyuma kwenda mbele inakua (Elub Yvi) ambapo kwa Lugha ya ki Latin inamaanisha ni Mtoto wa Shetani.

Je kuna ukweli wowote juu ya uvumi huo?

Post Comment