WHAT IS IT?
Tanzanians lets be as intellectuals, and currently. We call it "INDEPENDENT DAY", is that right? Is it true that we are independent? Poverty, Diseases and Ignorance, Are they our enemy? Is it true that you can stay with your enemy for 50 year at your home?
Je wajua TANZANIA ni nchi ya kwanza afrika na ya tatu(3) duniani baada ya Irag na Afghanstan kwa kupokea misaada toka nje? Tambua kwamba Iraq na Afganstan misaada yao ni ya kijeshi na kuhudumia wahanga wa vita! Kutokana na takwimu za sasa asilimia arobaini(40%) ambayo ni sawa na trilioni 3.5 ya bajeti yetu inategemea wahisani kutoka nje, ambayo purposefully huombwa kama pesa kwaajili ya miradi ya maendeleo, lakini cha kushangaza na cha ajabu pesa hizo huishia mikononi mwa watu. Hebu jaribu fikiria gharama za maisha zinavyozidi kupanda, mbali na hilo bado wabunge wanataka kujipandishia posho katika vikao vyao.
Tutafika Jamani?
Try to think out of the box.
It is not INDEPENDENT day,
It is better if we call it as
-50 years of DEPENDANCE!
-with our greatest friends poverty, diseases and ignorance!
Lets PRAY! Halelujah!
R>I>P T-A-N-Z-A-N-I-A
Tutafika Jamani?
Try to think out of the box.
It is not INDEPENDENT day,
It is better if we call it as
-50 years of DEPENDANCE!
-with our greatest friends poverty, diseases and ignorance!
Lets PRAY! Halelujah!
R>I>P T-A-N-Z-A-N-I-A
No comments