Habari mpya

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MWAKA 2014/2015 KUTOKA SEPTEMBA 22, 2014.

 

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwenye tovuti ya TCU majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu mwaka wa masomo 2014/2015 yatatolewa tarehe tajwa hapo juu. Hii itakuwa ni baada ya kikao kitakachofanyika Ubungo plaza na wawakilishi kutoka vyuo vyote Tanzania vilivyopo katika jumuiya hiyo ya vyuo vikuu hapa nchini.
Aidha kwa waombaji wote ambao majina yao yalitoka katika orodha ya wasiochaguliwa mwisho wa kuomba ni tarehe 22/09/2014. 
Majina hayo yatapatikana katika tovuti ya TCU na NACTE.


32 comments:

  1. Jaman nmesubiri sana hayo majina kuweza kutoka mpaka nimechoka, hebu fanyeni huo utaratibu angalau mnitoe kwenye taharuki..

    ReplyDelete
  2. ucof kijana we xubir midamida...

    ReplyDelete
  3. Nami nauliza hadi mchana huu main a hay bado?

    ReplyDelete
  4. bado tuu saa kumi na moja hii

    ReplyDelete
  5. Acheni moto vijana wa medicine

    ReplyDelete
  6. Bado 2 jamaniii

    ReplyDelete
  7. Jamani mbna metudanganyaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. TCU nao kwa uongo wako vizuri!!!!!

    ReplyDelete
  9. 22 hiyo imepita then mbna hamjibu comment zetu

    ReplyDelete
  10. hayo majina yako wapi bandugu?

    ReplyDelete
  11. mi naona chenga tu hawa tcu nao kama wa siasa tu, mbwembwe nyingi, kutia pressure watoto wa wenziwe tu.

    ReplyDelete
  12. TCU hamweleweki mnatutia presha 2...tar 22 imepita leo 23 had mda huu kmya

    ReplyDelete
  13. mmhh inachosha kwa kwl

    ReplyDelete
  14. km hawajawa tayar c waseme 2?

    ReplyDelete
  15. hayo majinaa baboooooooooo

    ReplyDelete
  16. mpaka muda huu jamanii saa tano now......

    ReplyDelete
  17. USHAURI WANGU TCU IFUTWE KILA CHUO KIJITEGEMEE WANAKELA SANA UONGOUONGO TU NINAHASIRA MIE

    ReplyDelete
  18. NI BORA WANGEWACHUKUA SIX LEAVER WAFANYE KAZI YA TCU kwan wamezidi uongo wamewafanya wadogo zetu watoto wadogo siasa hadi kwenye elimu ONENI AIBU KAMA NI NYIE MNGEKUA MNAFANYIWA HIVO USICHOPENDA KUFANYIWA USIMFANYIE MWENZIO MBONA MNASAHAU MLIKOTOKA

    ReplyDelete
  19. HATA AIBU HAMUONI

    ReplyDelete
  20. Mbona ham2pi majibu kuhusu tcuuuuuuuuuuuuuuuu jamni mna2weka roho juuuuu 2mechoka kusubiriiiiiiiiiiiiiiii hi blog 2 ambien bc

    ReplyDelete
  21. Jaman kwani mwaka huu hatuendi vyuo vikuu mana ahadi yanu tcu sioni?

    ReplyDelete
  22. tcu ni waxenge bwana mambo gan wanaa2fnyia 2napeana presha 2 kvpo mwaka huu 2ache kwnda chuo


    ReplyDelete
  23. JAMENI EE!KAMA VP TUXUXE KWENDA MAVYUON MAANA WAMEZID KU2FANYIA DANGANYIA TOTO

    ReplyDelete
  24. Nimeona malalamiko meng xana humu lakn mngetafuta kwanza ukwel why wanachelewesha hayo majna then mambo mengne yafuate,2ache lawama watanzania au vp nahs mmenpata vyema 2po pamoja.Ila m napta 2 jaman!

    ReplyDelete
  25. TCU mnampango gan na wanavyuo watarajiwa au mmewacliana na loan board kwamba wote mtawalipia? Mpaka leo majina bado! Maandaliz yanafanywa lini,,,

    ReplyDelete
  26. Toeni bajameni tunahamu nayooo

    ReplyDelete
  27. Tcu mambo gaaaani!

    ReplyDelete
  28. http://kaozab.blogspot.com/2014/09/waliochaguliwa-kujiunga-chuo-kikuu-cha.html

    ReplyDelete
  29. Kiu imeshakatwa hadi sasa. Kelele zote kimyaaa.. as ante Tcu

    ReplyDelete
  30. ngoja niwatoe hofu vijana TCU wanaachia kitu tarehe 30/10 worry out...

    ReplyDelete
  31. ngoja niwatoe hofu vijana TCU wanaachia kitu tarehe 30/10 worry out...

    ReplyDelete
  32. ngoja niwatoe hofu vijana TCU wanaachia kitu tarehe 30/10 worry out...

    ReplyDelete